... Miongoni mwa viongozi wakubwa wa Yanga waliokwenda Dr Congo ni ;GSM - Muwekezaji wa YangaEng. Hersi Said - Rais wa YangaAndrew Mtine - CEO wa YangaAbbas Tarimba - Mwenyekiti wa baraza la wadhamini wa klabu ya Yanga. Inaelezwa kuwa licha ya kwenda kwa ajili ya mchezo dhidi ya Tp Mazembe lakini pia watafanya makubaliano ya awali ya usajili ya wachezaji wawili.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇