Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Wakala wa Meli Tanzania, TSAC), Kaimu Mkeyenge amesema ametaja mafanikio makubwa waliyopata katika kipindi cha uongozi wa Awamu ya Sita wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Ametaja mafanikio hayo katika mkutano na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari -MAELEZO jijini Dodoma Machi 7, 2023.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari -MAELEZO, Zamaradi Kawawa akisema neno la kuhitimisha mkutano huo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkeyenge akielezea mafanikio hayo na Zamaradi akisema neno la kuhitimisha mkutano huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇