LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 10, 2023

TASAC: TULIVUNJA KISHERIA MIKATABA YA VIJANA 209 NA KUWALIPA KIVUJA JASHO+video


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC), Kaimu Mkeyenge ametoa ufafanuzI kwa umma kuhusu malalamiko ya vijana waliokuwa wanafanya shughuli za mafunzo kazi kwa vitendo ndani ya shirika hilo. Akitoa ufafanuzi huo katika mkutano na vyombo vya habari jijini Dodoma Machi 10, 2023, amesema kuwa licha ya kukatiza kisheria mikataba ya vijana hao 209, waliwalipa kifuja jasho cha mwezi mmoja.
 

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akisema neno la kuhitimisha mkutano huo.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkeyenge akitoa ufafanuzi na Msigwa akitoa neno la kumkaribisha na kuhitimisha mkutano huo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages