LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 19, 2023

SHEREHE YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA ILIYOANDALIWA NA UWT ILIVYOFANA DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda kabla ya kuhutubia Kilele cha Miaka miwili ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita kwenye Sherehe zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda kabla ya kuhutubia Kilele cha Miaka mawili ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wakati akiwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Sherehe za Kilele cha Miaka miwili ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Machi 19, 2023
Viongozi mbalimbali wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) pamoja na Wananchi wa Mikoa mbalimbali wakiwa katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika Kilele cha Miaka miwili ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi katika Sherehe za kilele cha Miaka miwili ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Machi 19, 2023.





No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages