Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Khadija Mwenda akizungumza kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Osha katika mkutano na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO, jijini Dodoma Machi 4, 2023. Ametaja majukumu makuu ya kusimamia na kulinda usalama na afya mahali pa kazi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari -MAELEZO, Zamaradi Kawawa akiongoza mkutano huo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwenda akitaja majukumu hayo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇