LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 14, 2023

NHIF YAANZISHA UTARATIBU WA BIMA YA AFYA YA 'TOTO AFYA KADI' KUSAJILIWA SHULENI+video

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,  Bernard Konga akitoa ufafanuzi mbele ya vyombo vya habari jijini Dodoma Machi 14, 2023, kuhusu uboreshaji katika utaratibu wa usajili wa watoto kupitia Mpango wa Toto Afya Kadi.


Konga akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya maafisa wa mfuko huo wakiwa katika mkutano huo.

Wanahabari wakisikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu, Konga akitoa ufafanunuzi huo.


 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF akielezea faida ya uboreshaji huo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages