LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 25, 2023

MGALU: WANAWAKE KIPAUMBELE CHETU 2025 NI KUMPIGIA KURA RAIS SAMIA+video


 Mbunge wa Viti Maalumu, ambaye ni Katibu wa anayewawakilisha wabunge wanawake katika Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT Taifa), Subira Mgalu ametoa somo kuhusu mwelekeo wa UWT kuelekea 2024-2023 wakati wa mafunzo ya siku mbili kwa wajumbe wa baraza kuu la umoja, wenyeviti na makatibu wa mikoa na wilaya yaliyofanyika Machi 21-22, 2023 kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Moja ya mambo aliyosisitiza ni kwamba wanawake safari hii kipaumbele chao namba moja ifikapo 2025 ni kumpigia kura Rais Samia Suluhu Hassan.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mgalu akielezea kuhusu mwelekeo huo wa UWT...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages