Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Moshi Kakoso wakisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Karakana ya Ufundi wa Treni ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), Ndg. Kelvin Kimario katika ziara ya Kamati hiyo Mjini Morogoro.
Picha na Ofisi ya Bunge.



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇