Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt.John Mduma amesema kuwa mfuko huo uko imara hadi miaka 30 kutokana na mwenendo wake mzuri.
Amebainisha hilo alipokuwa akijibu maswali kutoka kwa wanahabari alipokuwa akielezea utekelezaji wa majukumu ya mfuko huo kwenye ukumbi wa Idara ya Habari- MAELEZO jijini Dodoma Machi 2, 2023.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa akisema neno la kuhitimisha mkutano huo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt. Mduma akijibu maswali na kuelezea mafanikio hayo...
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇