LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 13, 2023

CHONGOLO ANENA MAKUBWA SEMINA ELEKEZI YA WAKUU WA WILAYA+video


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mwenyekiti Mstaafu wa wakuu wa wilaya nchini, Komredi Daniel Chongolo ameelezea majukumu makubwa ya Mkuu wa Wilaya aliyonayo katika eneo lake akimwakilisha Rais wa nchi.

Ameyasema hayo wakati wa semina elekezi ya kwa wakuu wa wilaya iliyofunguliwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango kwenye ukumbi wa Hoteli ya Jiji la Dodoma, eneo la Mtumb Machi 13, 2023.







Chongolo akisalimiana na baadhi ya wabunge ukumbini.




Chongolo akijadiliana jambo na baadhi ya wabunge nje ya ukumbi baada ya semina hiyo kufunguliwa.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Chongolo akizungumza  maneno hayo.....

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages