Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo leo ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa daraja la Gunyoda, Mbulu ambalo mpaka kukamilika litagharimu shilingi 839,760,000. Chongolo akizungumza na wananchi.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇