LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 15, 2023

WAZIRI NAPE ATEMBELEA GAZETI LA UHURU NA KUZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI, LEO

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, akizungumza na baadhi ya Wafanyakazi wa Uhuru Publications Ltd (UPL), Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo, alipotembelea Ofisi za UPL, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo. Pamojan na Waziri Nape ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Ramadhani Mkoma.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akisalimiana na mfanyakazi wa Uhuru Publications Ltd (UPL), Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo, Pulcheria Bamanyisa alipotembelea Ofisi za UPL, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Grace Urio wa UPL.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akisindikizwa na Viongoziwa Uhuru Publications Ltd (UPL), Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo, wakati akiondoka baada ya kutembelea Ofisi za UPL, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo. kushoto ni Kaimu Meneja Rasiliamali Watu Uwezo Kasongo, Watatu ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Ramadhani Mkoma na Kulia ni Afisa Habari wa Wizara hiyo Innocenty Mungy.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akiwa katika picha yakumbukumbu na Viongozi na Wafanyakazi wa Uhuru Publications Ltd (UPL), Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo, alipotembelea Ofisi za UPL, Lumumba JijiniDar es Salaam, leo.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akiagana na Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd (UPL), Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo Ramadhani Mkoma, wakati akiondoka baada ya kutembelea Ofisi za UPL, Lumumba JijiniDar es Salaam, leo.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye (kulia) akimsikiliza kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd (UPL), Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru na MzalendoRamadhani Mkoma, baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mhariri Mtendaji wa UPL, alipotembelea Ofisi za Upl, Lumumba JijiniDar es Salaam, leo.
Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd (UPL) Ramadhani Mkoma (kulia) akiteta jambo na Afisa Habari wa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Innocent Mungy, Afisa huyo alipokuwa katika Ofisi ya Mhariri Mtendaji wa UPL akiwa na Waziri wa Wizara hiyo NapeNnyauye, leo.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari akisaini kitabu cha wageni baada yakuwasili katika ofisi ya Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Picha:Bashir Nkoromo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages