LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 28, 2023

RIDHIWANI KIKWETE AMSHUKURU RAIS SAMIA KUENDELEA KUMUAMINI

"Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila hatua . Kwa hakika kupitia wewe utukufu wako umeonekana. Namshukuru  Rais wetu Samia_Suluhu_Hassan kwa kuniamini na kuniteuwa kwenda kumsaidia upande wa Watumishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Utawala Bora. Ni heshima kubwa sana umetupa. Ahadi kwako na Watanzania nitafanya kazi kwa nguvu na vipawa vyangu vyote." #KaziInaendelea #MaslahiWafanyakazi






 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages