LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 1, 2023

PROF. NDAKIDEMI: TUSIPOTUNZA VYANZO VYA MAJI TUTAHARIBIKIWA+video

 Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi akichangia hoja bungeni jijini Dodoma Januari 31, 2023 amesema tusipotunza vyanzo vya maji mbele ya safari tutaharibikiwa kwani hatutoweza kupata vyakula na maji ya kunywa.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,Prof. Ndakidemi akitahadharisha  uharibifu wa vyanzo hivyo vya maji...IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages