LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 9, 2023

MWANYIKA AITAKA SERIKALI IPELEKE NJOMBE VIFAA VYA KISASA VYA KUZIMIA MOTO MASHAMBA YA MITI+video

Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika amehoji bungeni Februari 8, 2023, ni lini serikali itapeleka Njombe vifaa vya kisasa vya kuzimia moto ambao kila mwaka unateketeza mashamba ya miti?

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akihoji swala hilo...
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages