LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 5, 2023

MIAKA 46 CCM ILIVYOSHEREHEKEWA Z'BAR

Na Dismas Lyassa

Miaka 46 ya CCM imesheherekewa kiaina yake Zanzibar huku wanachama wengi wakionekana kuendelea kuwa na imani kubwa na chama hicho.

Mojawapo ya sababu  ya wananchi kuendelea kuwa na imani na CCM ni kutokana na jitihada kubwa zinazofanywa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk Mohammed Said Mohammed Dimwa.

Wananchi wanasema Zanzibar inaendelea kupaa kimaendeleo, inawapongeza sana viongozi wa Serikali na CCM kwa kushirikiana na kufanya kazi kwa bidii.

Katika tukio la juzi viongozi mbalimbali walishiriki kukata keki ya miaka 46 ya CCM huku wanamuziki mbalimbali walitumbuiza.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Dk Mohammed Said Mohammed Dimwa akikata keki kusherehekea miaka 46 ya Zanzibar
Chini akisalimiana na viongozi mbalimbali


Baadhi ya washiriki katika tukio hilo
Picha zote kwa hisani ya ndugu Khamis Mbeto, Katibu wa Idara Siasa, Itikadi na Uenezi Zanzibar.



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages