LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 6, 2023

MBUNGE MWANTONA AIKOMALIA SERIKALI KUKAMILISHA HARAKA UMEME WA REA KATIKA VIJIJI 25 RUNGWE+video

Mbunge wa Rungwe, Anton Mwantona ameikomalia serikali bungeni Dodoma Februari 6, 2023, kuwa ni lini Mradi wa REA 11 utamalizika kwa vijiji 25 vilivyobakia katika Jimbo la Rungwe?

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwantona akiwapambania wananchi wa Rungwe....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages