LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 19, 2023

JUMUIYA YA MARIDHIANO: BADO TUNA IMANI NA UONGOZI IMARA WA SHEIKH ALHAD MUSSA+video

Mwenyekiti wa Jumuiya  ya Maridhiano, Sheikh  Alhad Mussa amepongezwa na wajumbe wa kamati hiyo kwa kazi nzuri ya kuiunganisha na Kamati ya Aman kudumisha amani nchini.

Pongezi hizo zimetolewa wakati wa mkutano uliofanyika jijini Dodoma Febrari 15, 2023, chini ya Mlezi wao Waziri Mkuu mstaafu, Mzee Mizengo Pinda.

Wamesema kuwa pamoja na kadhia aliyoipata hivi karibuni ya kuvuliwa  u Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, lakini wao wana imani naye kutokana na uongozi wake imara katika jumuiya hiyo.

Mizengo Pinda
Alhad Mussa akiwa na Pinda
Viongozi mbalimbali wa Jumuiya hiyo
Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo,
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dodoma, Askofu Dkt. Evance Chande akitoa utambulisho.
Sehemu ya wajumbe wa Jumuiya hiyo kutoka mikoa mbalimbali nchini.






PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, wajumbe wakielezea imani waliyonayo na Sheikh Alhad Mussa huku Mzee Pinda akiipongeza jumuiya hiyo kwa kudumisha amani nchini...






 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages