Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson wameipongeza Benki ya NMB kwa udhamini wao mkuu wa Bunge Bonanza 2023 lililowashirikisha Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar pamoja na watumishi wa Bunge.
Walitoa pongezi hizo wakati wa hafla ya kukabidhi medali na vikombe kwa washindi wa michezo mbalimbali katika Bonanza hilo lililofana na kufanyika kwenye viwanja vya Shule ya John Merlin, Miyuji Jijini Dodoma Januari 28, 2023 ambapo ushindi wa jumla walipata wabunge.
Majaliwa akikabidhi kombe la ubingwa wa jumla kwa Mwenyekiti wa Bunge Bonanza 2023, Mbunge Festo Sanga. Ubingwa wa jumla umekwenda kwa wabunge.
Waziri Mkuu Majaliwa akihutubia na kutoa pongezi kwa NMB.
Spika wa Bunge, Dkt Tulia akitoa pongezi kwa Benki ya NMB.
Mchezo wa Kikapu.
Mpira wa miguu
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu akishuhudia wabunge na watumishi wakipepetana katika soka. Watumishi walishinda mabao 4-1.
Mchezo wa kufukuza kuku.
Mchezo wa bao
Mchezo wa karata.
Vikombe na medali
mashindano ya kunywa soda
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/kuangalia kupitia clip hii ya video, viongozi hao wakiifagilia Benki ya NMB....
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇