LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 2, 2023

WAZIRI MABULA AMTAKIA KHERI YA KUZALIWA MAMA MARIA NYERERE

  Disemba 31, 2022 ni kumbukumbu ya mama Maria Nyerere ambaye ametimiza umri wa miaka 93. Katika kuadhimisha siku hiyo Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula alimtembelea Mama Maria nyumbani kwake Msasani Dar es Salaam na kumtakia kheri ya siku yake ya kuzaliwa na kumzawadia kitenge.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages