LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 2, 2023

SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 59 YA MAPINDUZI: RAIS DK. MWINYI AFUNGUA SKULI YA MSINGI MWAMBE PEMBA, JANA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo baada ya kufungua kipazia kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba jana, katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (wa tatu kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Lela Mohamed Mussa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa (wa pili kushoto)alipotembelea madarasa baada ya  kuifungua Skuli ya msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba leo, katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa pili kulia) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba leo katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe   katika shamra shamra za maadhimisho ya   miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba leo katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe   katika shamra shamra za maadhimisho ya   miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akisalimiana na Mzee Ali Hamad Makame aliyefika katika  katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe   katika shamra shamra za maadhimisho ya   miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha za Ikulu).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages