LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 14, 2023

RIDHIWANI AZINDUA MFUKO WA FAIDA SHIRIKA LA NYUMBA LA WATUMISHI

"Nimeshiriki uzinduzi wa Mfuko wa Faida unaosimamiwa na Shirika la Nyumba la Watumishi. Mfuko huu ambao unaendeshwa kwa michango ya Hisa za wananchi, ni moja kati ya njia nzuri kuhakikishia Makazi mazuri kwa Watumishi wetu na faida kwa Wawekezaji Wa Mradi." Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete. #KaziInaendelea




 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages