LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 16, 2023

RAIS DK. MWINYI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KITAIFA WA UWT, IKULU MJINI ZANZIBAR, LEO

Ikulu, Zanzibar

Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo amekutana na kufabya mazungumzo na Viongozi wa Kitaifa wa Umoja  wa Wanawake Tanzania (UWT), Ikulu Zanzibar.


Uongozi wa Jumuiya hiyo uliongozwa  na Mwenyekiti  Mary Chatanda, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM aliyeambatana na  Makamu Mwenyekiti UWT Zanzibar Ndugu Zainab Shomari, viongozi mbalimbali wa  kitaifa wa Jumuiya hiyo kwa nia ya kujitambulisha baada ya kuchaguliwa .


Katika Mazungumzo viongozi hao wamempongeza Dk. Mwinyi kwa kuchaguliwa  kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar na Kutekeleza Ilani ya CCM ya Utekelezaji 2020-2025.

Kuona na kusikia mazungumzo hayo. Bofya video hii👇


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages