LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 1, 2023

RAIS DK. MWINYI APELEKAFEDHA ZA SHEREHE ZA MAPINDUZI KWENYE ELIM. KUNOGESHWA YA 2024

Ikulu, Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt. Hussein Ali Mwinyi amehamisha  fedha  zilizotengwa kwa ajili ya Sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi  na kuagiza fedha hizo zitumike katika sekta ya Elimu.

Alieleza, awali  sherehe za Mapinduzi  zilipangwa kutumia milioni 700 licha ya gharama kupunguzwa hadi kufikia milioni 450 ambazo fedha hizo  Rais Mwinyi amesema Serikali  imezielekeza  Kuongeza nguvu  kwenye Sekta ya Elimu ikiwemo Madarasa, Madawati,Maabara na huduma nyingine za Elimu.

Rais Dk. Mwinyi

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages