LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 23, 2023

MWENYEKITI WA UWT CHATANDA AENDA KWA DKT KIKWETE KUCHOTA USHAURI, MAARIFA,BUSARA

 Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) inamshukuru  Dkt Jakaya Kikwete, Rais wa Awamu ya Nne Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutenga muda kujadiliana na Mary Chatanda, Mwenyekiti wa UWT Taifa kuhusu mustakabali mzima wa UWT kwa maslahi mapana ya maendeleo ya wanawake na watoto hapa Tanzania. #UWTimara #JeshiLaMama #KaziIendelee


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages