Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akipanda mti aina ya Mdodoma kandokando ya barabara ya Dodoma – Morogoro eneo la Ihumwa Jijini Dodoma wakati akiongoza zoezi la upandaji miti kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023. |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango,akipata akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Bw.Joseph Mafuru kabla ya kuanza kupanda miti kandokando ya barabara ya Dodoma – Morogoro eneo la Ihumwa Jijini Dodoma wakati akiongoza zoezi la upandaji miti kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12, 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akishuhudia baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi na vyuo vilivyopo mkoani Dodoma wakipanda mti aina kandokando ya barabara ya Dodoma – Morogoro eneo la Ihumwa Jijini Dodoma wakati alipoongoza zoezi la upandaji miti kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule za msingi Ihumwa mara baada ya kumaliza zozezi la upandaji miti kandokando ya barabara ya Dodoma – Morogoro eneo la Ihumwa Jijini Dodoma wakati alipoongoza zoezi la upandaji miti hiyo kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akipanda mti aina ya Msabuni katika shule ya msingi Msalato Jijini Dodoma wakati akiongoza zoezi la upandaji miti kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango,akimshuhudia Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda wakati akipanda mti katika shule ya msingi Msalato Jijini Dodoma wakati akiongoza zoezi la upandaji miti kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango,akimshuhudia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo wakati akipanda mti katika shule ya msingi Msalato Jijini Dodoma wakati akiongoza zoezi la upandaji miti kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango,akimshuhudia Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Bashungwa wakati akipanda mti katika shule ya msingi Msalato Jijini Dodoma wakati akiongoza zoezi la upandaji miti kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango,akimshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule wakati akipanda mti katika shule ya msingi Msalato Jijini Dodoma wakati akiongoza zoezi la upandaji miti kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Diwani wa Kata ya Msalato, Nsubi Bukuku akinawishwa mikono na Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe baada ya kushiriki kupanda mti.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango,akimshuhudia Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Anthony Mavunde wakati akipanda mti katika shule ya msingi Msalato Jijini Dodoma wakati akiongoza zoezi la upandaji miti kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango,akiwashuhudia Wakuu wa wilaya Mkoa wa Dodoma wakati wakipanda mti katika shule ya msingi Msalato Jijini Dodoma wakati akiongoza zoezi la upandaji miti kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango,akiwashuhudia Wanafunzi wa Shule ya Msingi Msalato wakati wakipanda mti katika shule ya msingi Msalato Jijini Dodoma wakati akiongoza zoezi la upandaji miti kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango,akiwashuhudia Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma wakati wakipanda mti katika shule ya msingi Msalato Jijini Dodoma wakati akiongoza zoezi la upandaji miti kusheherekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi, Wananchi pamoja na Wanafunzi wa Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo mara baada ya kumalizika kwa zoezi la upandaji miti lililofanyika katika eneo la Ihumwa na Msalato Jijini Dodoma wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo,akizungumza mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango kuongoza zoezi la upandaji miti lililofanyika katika eneo la Ihumwa na Msalato Jijini Dodoma wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe.Mizengo Pinda ,akizungumza mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango kuongoza zoezi la upandaji miti lililofanyika katika eneo la Ihumwa na Msalato Jijini Dodoma wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo Januari 12,2023.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Mpango akihutubia wakati wa zoezi hilo....
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇