LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 8, 2023

JKCI WAFANYA MAZOEZI KUKABILIANA NA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA

  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwaongoza wafanyakazi wa JKCI pamoja na wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club kufanya mazoezi ya mbio za taratibu (Jogging) za umbali wa Km. 5 ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa na Taasisi hiyo yenye kauli mbiu “Tembea na JKCI, Linda Afya ya Moyo Wako”. Matembezi hayo yamefanyika jana Jijini Dar es Salaam

  Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kuanza kwa mbio za taratibu (Jogging) za umbali wa Km. 5 ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa na Taasisi hiyo yenye kauli mbiu “Tembea na JKCI, Linda Afya ya Moyo Wako”. Matembezi hayo yamefanyika jana Jijini Dar es Salaam

 Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club wakifanya mazoezi ya mbio za taratibu (Jogging) za umbali wa Km. 5 wakati wa muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa na Taasisi hiyo yenye kauli mbiu “Tembea na JKCI, Linda Afya ya Moyo Wako”. Matembezi hayo yamefanyika jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages