LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 14, 2023

DIWANI BUKUKU: DKT MPANGO UJIO WAKO MSALATO UMETUTIA NGUVU NA FARAJA, UMETUHESHIMISHA+video

Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango (katikati) akitembelea Shule ya Msingi Msalato jijini Dodoma Januari 12, 2023, baada ya kupanda miti ikiwa ni moja ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

 Kitendo cha Makamu kufika shuleni hapo na kupanda miti kimepngezwa na Diwani wa Kata ya Msalato, Nsubi Bukuku na kwamba kimewatia nguvu na faraja wananchi wa  kata hiyo.
Dkt Mapango akipanda mti eneo la shule hiyo ya Msalato.
Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dodoma wakipanda mti shuleni hapo.
Diwani wa Kata ya Msalato, Nsubi Bukuku akipanda mti shuleni hapo. Shule hiyo ambayo imehamishwa  kupisha ujenzi wa Uwanja mpya wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, ujenzi wake umesimamiwa vilivyo na diwani huyo.
Wanafunzi wa shule hiyo wakipanda mti.
Dkt Mpango akihutubia baada kuongoza kupanda miti shuleni hapo.

Wanafunzi wa shule ya Msalato wakiwa katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais, Dkt Mpango na viongozi wengine.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Diwani Bukuku pamoja na mambo mengine akitoa shukrani kwa Makamu wa Rais Dkt. Mpango....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages