Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Snyamule ameupongeza uongozi wa Chuo cha Ufundi cha Don Bosco cha jijini Dodoma kwa uamuzi wa kuwapatia bure vifaa baadhi ya wahitimu wa chuo hicho kwa ajili kuanzia kazi kwa lengo la kujiajiri.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Snyamule ameupongeza uongozi wa Chuo cha Ufundi cha Don Bosco cha jijini Dodoma kwa uamuzi wa kuwapatia bure vifaa baadhi ya wahitimu wa chuo hicho kwa ajili kuanzia kazi kwa lengo la kujiajiri.
Pia alitoa pongezi kwa utoaji barabara kwa Taifa, kazi ya utume na utoaji elimu ya ujuzi kwa vijana.
Pongezi hizo alizitoa alipokuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya 36 ya chuo hicho Ijumaa Novemba 25, 2022 ambapo wahitimu 15 wamenufaika na utaratibu huo.
Pongezi hizo alizitoa alipokuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya 36 ya chuo hicho Ijumaa Novemba 25, 2022 ambapo wahitimu 15 wamenufaika na utaratibu huo.Mkuu wa Chuo hicho, Boniface Mchami akiteta jambo na RC Senyamule.
RC Senyamule akiwa na viongozi mbalimbali waliohudhuria mahafali hayo.
Mmoja wa wanafunzi walionufaika kwa kupatiwa vifaa vya kazi akitoa neno la shukrani kwa chuo kwa niaba ya wenzake.
Baadhi ya wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wa wahitimu
RC Senyamule akiwakabidhi vyeti baadhi ya wahitimu.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, RC Senyamule Akitoa pongezi hizo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇