LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 4, 2022

RAIS DK. MWINYI AWASILI DODOMA KUSHIRIKI VIKAO/MKUTANO MKUU WA CCM

 


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi-CCM, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi,  akiambatana na mkewe Mama Mariam Mwinyi,  amewasili Dodoma jioni hii tayari  kuhudhuria vikao vya kikatiba vya Chama cha Mapinduzi na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa utaofanyika tarehe 07/12  na tarehe 08/12.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages