LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 3, 2022

MIPIRA KOMBE LA DUNIA HUCHAJIWA KAMA SIMU!

#Sports Update

Teknolojia inayotumika katika michuano ya Kombe la Dunia Qatar 2022, haijawahi kutumika kokote Duniani. Mipira ya michuano ya Kombe hilo la Dunia inachajiwa !


Mipira hiyo yenye teknolojia iliyobuniwa na Kampuni ya ADIDAS, imetengenezwa ikiwa na bettery ndogo ndani yake ambayo huisha charge baada ya saa sita.

 Huisha charge baada ya saa (6) iwapo inatumika na siku kumi na nane (18) ikiwa haitumiki.


SENSOR yake ambayo ina uzito wa 14 grams hutumika ku-support technology ya Camera mbalimbali zilizofungwa kwenye pitch ambazo huwasaidia waamuzi kwenye matukio tata na OFFSIDE.


Kila mpira unapopigwa kwa mguu au kichwa nk.. SYSTEM huchora mistari zaidi ya 500 kwa sekunde moja ili  kubainisha kama kuna Offside, Faulo na vitu kama hivyo.. 


.... Data hutumwa immediately kutoka kwenye SENSOR kwenda kwenye LOCAL POSITIONING SYSTEM (LPS), system ambayo inajumuisha setup ya network za antenna zote ambazo ziko installed kuzunguka eneo lote la kuchezea na Data huhifadhiwa kwa ajili ya matumizi ya muda huo na matumizi ya baadae.


Iwapo mpira utapigwa nje ya eneo lililofungwa System hiyo na mpira mpya ukarushwa au kupigwa ndani ya pitch ku-replace mpira uliotoka, KINEXON 's BACKEND SYSTEM automatically hu-switch kutoka ule mpira uliotoka kwenda kwenye INPUT DATA za mpira ulioingia bila kuhitaji msaada wa binadamu.

#SportsUpdate

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages