LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 3, 2022

MAMA MARIAM MWINYI AMEZINDUA MBIO KILOMITA 5,10 NA KUSHIRIKI MATEMBEZI

Mke wa Rais wa Zanzibar pia  Mwenyekiti wa  Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (katikati) akishiriki katika   matembezi ya Kilomita tano yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community Chini ya Mkurugenzi Mtendaji Ndg,Flora Njelekela (wa tatu kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali na wananchi  kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.

Waziri wa Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita akizungumza na wanamichezo kwa niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi baada ya kumalizika kwa matembezi kilomita tano,mbio Kilomita tano na kumi yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages