LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 25, 2022

WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA WIZARA MTAMBUKA KUHUSU NISHATI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Wizara Mtambuka kuhusu nishati safi ya kupikia kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, November 25, 2022. Kulia wake ni Waziri wa Nishati, January Makamba na kushoto kwake ni Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages