Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR eneo la Nkonze, jijini Dodoma Novemba 24, 2022.
Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Treni ya kisasa (SGR) Nkonze Dodoma ukiendelea.Waziri Mkuu akiendelea na ukaguzi
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Mhandisi Masanja Kadogosa akielezea kuhusu maendeleo ya ujenzi huo.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete akieleza kwa ufupi kuhusu maendeleo ya ujenzi huo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikilizakuona kupitia clip hii ya video, Waziri Mkuu, Majaliwa akikikagua ujenzi huo...IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇