LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 19, 2022

UVCCM YAMTAKA DKT BASHIRU AJITATHMINI, AOMBE RADHI KWA KAULI ZAKE ZA UKAKASI+video

         Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Kenan Kihongosi
                             Dkt Bashiru Ali Kakurwa
  

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umemjia juu aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Bashiru Ali Kakurwa kwa kauli zake zisizofaa za kuwachonganisha viongozi na wananchi, ikiwemo aliyoitoa  akihutumia mkutano wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) mjini Morogoro kwamba viongozi hawapaswi kusifiwa kuwa wanaupiga mwingi wanapotekeleza majukumu,  hivyo kumtaka ajitathmini na kuomba radhi.

Karipio hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Kenan Kihongosi alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari katika Makao Makuu ya umoja huo  jijini Dodoma Novemba  19, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kihongosi akitoa karipio hilo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages