LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 6, 2022

TENGERU TAASISI YA MAENDELEO YA JAMII KONGWE, YENYE MAMBO LUKUKI MUHIMU+video

 

Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru,  Dkt Bakari George akizungumza na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Novemba 4,2022, kuhusu utekelezaji wa majukumu yao na vipaumbele  kwa mwaka 2022/23.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa neno la shukrani alipokuwa akihitimisha mkutano huo.

Baadhi ya wanahabari wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya maafisa wa Taasisi hiyo ya Tengeru.


PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, George akielezea mafanikio ya taaisi hiyo....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages