LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 7, 2022

SERIKALI YAWASILISHA MAPENDEKEZO YA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI NA MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEOWA TAIFA KWA MWAKA 2023/24


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwasilisha Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleowa Taifa kwa Mwaka 2023/24, bungeni jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akiwasilisha hati ya Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleowa Taifa kwa Mwaka 2023/24, bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. George Simbachawene akiteta jambo na baadhi ya wakuu wa Idara na Maafisa wa Wizara hiyo baada ya kuwasilisha Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleowa Taifa kwa Mwaka 2023/24, bungeni jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – WFM, DODOMA)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages