LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 22, 2022

RIDHIWANI AWAPONGEZA VIONGOZI WA CCM WALIOCHAGULIWA MKOA WA PWANI

Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete amewapongeza viongozi wa CCM Mkoa wa Pwani waliochaguliwa katika mkutano mkuu wa uchaguzi Mkoa wa Pwani, uliofanyika Kibaha Novemba 21, 2022, 

"Nimeshiriki mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa CCM Mkoa wa Pwani , mjini Kibaha. Niwapongeze viongozi waliochaguliwa leo. Kwa hakika tunakwenda jipanga kupambana kwa ajili ya nchi yetu kimaendeleo. Hongereni sana Wanaccm kwa ushindi huu."  #KaziInaendelea #CCMOyee





 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages