LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 8, 2022

RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA COP27 NCHINI MISRI, JANA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali katika Mkutano wa kujadili mabadiliko ya Tabianchi COP27 unaofanyika katika Mji wa Sharm El Sheikh nchini Misri jana, Novemba 7, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa kujadili mabadiliko ya Tabianchi COP27 unaofanyika katika Mji wa Sharm El Sheikh nchini Misri jana Novemba 7, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika moja ya mkutano uliojadili masuala ya misitu na Tabianchi katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh nchini Misri jana, Novemba 7,  2022.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages