LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 19, 2022

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA KUFUNGUA MKUTANO WA MABALOZI WA TANZANIA UNAOFANYIKA ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Nje kabla ya kufungua Mkutano huo wa Mabalozi uliofanyika Zanzibar

Viongozi pamoja na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha Tanzania katika nchi za Nje wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Zanzibar



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Nje mara baada ya kufungua Mkutano huo wa Mabalozi uliofanyika Zanzibar 



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages