LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 9, 2022

RAIS SAMIA AKUATANA NA RAIS WABOTSWANA KATIKA UKUMBI WA SHARM EL SHEIKH MISRI JANA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Botswana Mhe. Mokgweetsi Masisi katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh, nchini Misri jana, Novemba 8, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Watanzania waliofika kutembelea Banda la Maonesho la Tanzania lililopo ndani ya ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh nchini Misri, jana, Novemba 8, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wa Mazingira wa Tanzania mara baada ya kutembelea Banda la Maonesho la Tanzania lililopo ndani ya ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh, nchini Misri jana, Novemba 8, 2022.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages