LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 14, 2022

MASHARITI YA KUINGIA QATAR KUONA AU KUSHIRIKI KOMBE LA DUNIA HAYA HAPA

Qatar ambayo ni mwenyeji wa fainali za Kombe la FIFA la Dunia mwaka huu, imeendelea na msimamo wake wa kukataa kuingizwa nchini humo  bidhaa kama sex toys na nyama ya nguruwe.


Pia wanezuia matumizi ya pombe isipokuwa kwa mpangilio maalum na kupiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, na watu ambao sio wanandoa hawataruhusiwa kufanya mapenzi na endapo utabainika utakumbana na kifungo cha miaka saba jela.


Kuhusu nyama ya nguruwe ni kwamba endapo utabaibika umebeba nyama hiyo itabaki uwanja wa ndege na kwenye vizuizi na haitorudishwa kwa muhusika.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages