Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Nyumba 3,500 za Watumishi wa Umma zinazojengwa na na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) eneo la Nzuguni Jijini Dodoma. Tarehe 30 Novemba 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Daud Kandoro wakati akikagua maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba 3,500 za Watumishi wa Umma zinazojengwa na TBA katika eneo la Nzuguni Jijini Dodoma leo Tarehe 30 Novemba 2022.
Baadhi ya nyumba zilizojengwa katika eneo hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi pamoja na wananchi waliojitokeza katika Hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Nyumba 3,500 za Watumishi wa Umma zinazojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) eneo la Nzuguni Jijini Dodoma. Tarehe 30 Novemba 2022.
Baadhi ya viongozi wakisikiliza wakati Dkt Mpango akihutubia










No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇