LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 5, 2022

KATIBU WA UWT WILAYA YA ILALA KOMRED ANGELA AFARIKI DUNIA

Ilala, Dar es Salaam

Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam Angela Barik Masam amefariki dunia.


Taarifa ya UWT mkoa imesema Angela amefariki usiku wa kuamkia leo, Jumamosi Novemba 5, 2022 katika Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akiendelea na matibabu.


 "Ratiba ya Mazishi mtajulishwa Bwana alitoa na Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe Amina!", imesema taarifa hiyo.

Angela Barik Masam enzi za uhai wake.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages