LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2022

KATIBU CCM PWANI ABDALLAH MWINYI AONGOZA SEKRETARIETI KUTEMBELEA KATA YA MISUGUSUGU

Na Dismas Lyassa, Pwani

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani, ndugu Abdallah Mwinyi, ameongoza sekretarieti ya CCM Mkoa wa Pwani kwenye ziara maalum ya kuzungumza na wanachama wa Kata ya Misugusugu wilaya ya Kibaha mjini, Pwani.

 

Azma kubwa ya ziara hiyo ni kuangalia uhai wa chama na kuona namna ya kuendelea kukiimarisha.


Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani, ndugu Abdallah Mwinyi akizungumza jambo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kibaha Mjini, Mwajuma Nyamka.

Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Wilaya ya Kibaha Mjini, ndugu Clemence Kagaruki akifafanua jambo. Chini ni baadhi ya wana CCM wa Kata ya Misugusuku wakisikiliza kwa makini,

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages