Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba ametangaza leo Oktoba 7, 2022 katika mkutano na vyombo vya habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari- MAELEZO jijini Dodoma, kuwa maeneo yote ya madini yasiyoendelezwa kufutwa.
Ametangaza hilo alipokuwa akielezea vipaumbele vya tume hiyo pamoja na utekelezaji wa mambo mbalimbali wanayoyasimamia.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari -MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa neno la shukrani kwa tume hiyo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Samamba akielezea kuhusu uamuzi huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇