Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania, Francis Alfred amesema licha ya Tanzania kuwa ya tano kwa uzalishaji kwa wingi zao la Korosho duniani, lakini vilevile Korosho ya Tanzania inaoongoza kwa ubora duniani. Amebainisha hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO, jijini Dodoma Oktoba 8, 2022, alipokuwa akielezea utekelezaji wa shughuli za bodi hiyo.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa neno la shukrani baada ya mkutano huo kumalizika.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
(Picha zote na Richard Mwaikenda)
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi hiyo, Alfred pamoja na mambo mengine akizungumzia ubora huo wa korosho ya Tanzania na Mkurugenzi Msaidizi wa MAELEZO, Zamaradi akitoa shukrani...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇