LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 23, 2022

SERIKALI YAUNDA KIKOSI KAZI CHA ASKARI WANYAMAPORI 21 KUDHIBITI TEMBO WAHARIBIFU NACHINGWEA+video

 



Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Hashim Komba (kushoto) akiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deo Ndejembi  (wa pili kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Kijiji cha Nakalonji baada ya kutangaza serikali kuunda kikosi kazi cha askari 21 cha kuwaswaga  tembo waharibifu kutoka makazi na mashamba ya wananchi kuwarejesha mbuga ya selou.

Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano huo wa hadhara uliohutubiwa na Mkuu wa Wilaya pamoja na Naibu Waziri Ndejembi wakati wa uzinduzi wa majengo ya masijala yaliyojengwa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) katika vijiji vya Nakalonji na Bondo.
Baadhi ya wananchi waliolezea adha wanayopata kwa kuhofia kuvamiwa na tembo.



PICHA NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkuu wa Wilaya, Komba akitangaza kuunda kikosi kazi hicho na baadhi ya wananchi wakielezea adha wanayopata kutokana na tembo hao...

 

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages