LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 23, 2022

RIDHIWANI KIKWETE: KUTOFUATA SHERIA KUNAWEZA SABABISHA HASARA KWA SERIKALI NA WANANCHI

 

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete amefunga Mkutano wa Tatu wa Mwaka wa Bodi ya Usajili ya Wathamini jijini Arusha Oktoba 22, 2022." Nimewaasa Wathamini kutambua umuhimu wa taaluma yao na kulinda maadili; kutofuata sheria kunaweza sababisha hasara kwa Serikali na Wananchi hivyo kusababisha migogoro isiyo ya lazima." #KaziInaendelea #ArdhiYetu








 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages