Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo akiagana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, muda mfupi kabla ya kuondoka Nchini kurejea nyumbani kwao, leo.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo akiagana na Viongozi mbalimbali akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, muda mfupi kabla ya kuondoka Nchini kurejea nyumbani kwao, leo.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo akipunga mkono kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan (kushoto) baada ya kupanda Ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, muda mfupi kabla ya kuondoka Nchini kurejea nyumbani kwao, leo.
Oct 24, 2022
Home
featured
Kitaifa
RAIS TSHISEKEDI WA CONGO DRC AONDOKA NCHINI TANZANIA, LEO, RAIS SAMIA AMUAGA KWA BASHASHA
RAIS TSHISEKEDI WA CONGO DRC AONDOKA NCHINI TANZANIA, LEO, RAIS SAMIA AMUAGA KWA BASHASHA
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This

About CCM Blog
RAIS DK. SAMIA ATENGUA UTEUZI WA POLEPOLE, AMUONDOLEA HADHI YA UBALOZI
INEC YAZINDUA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU 2025, IDADI YA WAPIGA KURA YAPAA KWA ASILIMIA 26.55 , POLISI WAKABIDHIWA MAJINA YA WALIOJIANDIKISHA MARA MBILI
RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI WA TANZANIA DK. SAMIA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇